Сегодня
Polisi mjini Busia wamenasa kilo zaidi ya 600 ya bangi yenye dhamani ya shilingi milioni 18 iliyokuwa ikisafirishwa kwa magunia ndani ya gari la kubeba maiti.
Источник: rutube.ru